Alpha ft Rah P
Enter Adress
Tuesday, September 25, 2012
KAULI YA RAISI KIKWETE KUHUSU WANAO SEMA CCM INAFIA MIKONONI MWAKE
President Jakaya Kikwete ambae pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa amewatoa wasiwasi wanachama wa CCM baada ya habari kusambazwa kwamba chama hicho kinakaribia kumfia, yani kinafia mikononi mwake kutokana na kushindwa kukiongoza.
Akiwa White house Dodoma amesema wanaoeneza hayo maneno ni wapinzani wa kisiasa ambapo amesisitiza kwamba uongozi wake hautasikiliza madai hayo na utaendelea kupitisha viongozi kulingana na sifa zinazohitajika.
Kuhusu baadhi ya wagombea kukatwa majina yao kwa madai ya upendeleo amesema hawajapitisha jina hata moja kama ilivyopendekezwa na mikoa na badala yake wanawapitisha wagombea kulingana na ujuzi, elimu na uzoefu ndani ya chama.
Friday, September 21, 2012
Thursday, September 13, 2012
STORI KUHUSU P square KUSHITAKIWA
kama hufahamu May D ni msanii wa Nigeria ambae alisainiwa kuwa chini ya lebo inayomilikiwa na P Square (Square Records) ambapo ni siku kadhaa zimepita toka lebo hiyo itangaze kwamba haimuhitaji tena na wala hayuko tena chini yao.
Leo mtandao wa Naijag umeripoti kwamba May D ambae alitimuliwa na lebo hiyo wiki kadhaa zilizopita yuko kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na wanasheria wake ili awashitaki P Square kwa kuvunja mkataba kiholela.
May D anasema taarifa za kutimuliwa kwake alizipata kwenye blogs na magazeti kama walivyopata watu wengine na kwamba hakupewa taarifa zozote za kiofisi kama inavyopaswa, hiyo ndio sababu inayomfanya awashitaki P Square akiwemo kaka yao mkubwa Jude Okoye ambae ndio alitangaza kuuvunja mkataba wa May D.
Friday, September 7, 2012
HIKI NDICHO KILICHO SABABISHA FOLENI KUBWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM. NI WAISLAM KUANDAMANA BAADA YA KUSHIKILIWA KWA WENZAO WALIO SHIKWA BAADA YA KUFANYA MGOMO WA SENSA
Umati wa Waislamu ukiwa umekusanyika leo nje ya Wizara ya
Mambo ya Ndani kushinikiza wenzao waliokamatwa baada ya kugomea zoezi la Sensa.
Thursday, September 6, 2012
FUNDI SAMWELI KUONDOKA TANZANIA MWEZI WA 10 NA HATORUDI TENA
ALIFUNGUKA NA KUSEMA BADO ANAENDELEA KUTENGENEZA DARAJA KATI YA BONGO FLEVA NA WASANII WA SWEDEN HII YOTE NI KATIKA KUKUZA NA KUINUA MZIKI WA WATANZANI UWEZE KUFAHAMIKA NJE YA NCHI
Saturday, September 1, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)