KILICHO MPATA DOGO JANJA BY DAVID KIBANGA
NI BAADA YA DOGO JANJA MWENYEWE KUFUNGUKA KWA MILLARD AYO KWAMBA HAKUNA ALICHO NUFAIKA NACHO TANGU MADEE ALIPOMCHUKUA TOKA ARUSHA. KIKUBWA NI KWAMBA MADEE ALIMTUMIA KAMA CHOMBO CHA KUTAFUTIA PESA AU RIZIKI. DOGO JANJA ALIFUNGUKA NA KUSEMA KUWA WAKATI MWINGINE NILIKUWA NIKIFANYA SHOO AMBAZO NILILIPWA ZAIDI YA MILIONI MOJA LAKINI CHAAJABU NILIKUWA NAAMBULIA Sh. LAKI MBILI TU. PIA ALIONGEZA KUWA MUDA MWINGINE NILIKUWA NACHUKULIWA USIKU KWENDA KUFANYA SHOO NA KURUDISHWA SAA SABA ZA USIKU NA KESHO YAKE NILIKUWA NA MTIHANI NAPIA KWENDA KUPEWA NAMBAYA MTIHANI NA KUANDAA DAWATI KWA AJILI YA MTIHANI
Anasema simu yake alipewa jana baada ya kumwambia Madee kuwa
anataka kurudi kwao ndio alipoanza kutoa maneno ya vitisho kuwa watahakikisha wananibania
na sitoki tena kimziki.Pia anadai Madee aliwapigia simu wazazi wake ili
wamkataze asifanye interview na media,walijua wakinipa nafasi nitawaumbua sana!
No comments:
Post a Comment