Enter Adress

Friday, August 31, 2012

BEN POL ASITISHA KUFANYA COLLABO

 
Msanii anayeondoka na style za Rnb hapa bongo huyu si mwingine namzungumzia  Ben pol.Msanii huyu amesitisha kufanya collabo na wasanii mpaka amalize project ya nyimbo yake inayofahamika kwa jina la Pete.kwani ameeleza kwamba utakuta anatumia muda mwingi sana katika kufanya collabo na wasanii wa hapa nchini na hicho ndicho kinachomfanya asimalize project zake. kwa hiyo amesitisha kwanza mpaka amalize project yake ya pete ndipo atachukua uamuzi wa kufanya collabo na wasanii.Hayo ndiyo maneno ya Ben Pol akifunguka kuhusiana na sababu za kutokufanya collabo.


DIAMOND KU PERFOM WASHINGTON DC WEEKEND HII JUMAMOSI


Thursday, August 30, 2012

Friday, August 10, 2012

PICHA YA WIKI




TANZANIA BILA HII KITU INAWEZEKANAAAA ? ? ? CHUKUA TAHADHARI




Thursday, August 2, 2012

PREZOO AENDELEA KUONGOZA KWA KURA BIG BROTHER


HAYA NDIO MATOKEO HALISI NDANI YA BIG BROTHER


HUYU NDIO PREZOO KAMA ULIKUWA HUMFAHAMU


Wednesday, August 1, 2012

HABARI KUHUSIANA NA CHAMELEONE (By David Kibanga)



Muimbaji  chameleon  kutoka  Uganda  ni  mwizi  sana .Hapa  Uingereza  amesha tapeli watu  kishenzi  staili hio  hio na  maneja  wake. Ni  mchezo  wake.Akirudi  hapa  UK anaweza  kupigwa  mawe.Bangi  zina  msumbua  tuu.Yeye  ninani  mtu amabe  hawezi  kumuheshimu  mwakilishi  wa  Rais  wetu  Uganda   -Balozi  wetu pale  kampala.Nashanga  serikali ya  Uganda   wamemsikiliza na   kuifanya  hii  ishu  itake   kuharibu  uhusiano  mkubwa  kati  ya  nchi  hizi  mbili.Hivyo   chameleone   mnamjua  ?  juzi kawa muislam  kesho  yake  karutadi  tena .Bangi  haziwezi  zina  mpelekesha.  Anafaa   kua  jela  maana  ni  msani  jambazi.Huko  kampala  na sikia   wamesha   rushiana  risasi na  msani  Bobby  wine.  Naomba  watanzania  wote  tumzomeye  chameleon na  asirudi  tanzania  tena  kwa  tabia  yake  tena .  Hon  membe  tunaomba  hili  ulifanyie  kazi kwamba  wageni  hawezi  kuja  na  wakatu abuse  hata  nyumbani  kwetu.  Bwana  Erik   nawe  usije  uka shika  pasport  ya  mtu  ni    document  ya  serikali wala sio  mtu binafsi
 

PICHA YA WIKI



BISHOST KATUPIA VITU VYAKE HEHEHEHE