Muimbaji
chameleon kutoka Uganda ni mwizi sana
.Hapa Uingereza amesha tapeli watu kishenzi staili hio
hio na maneja wake. Ni mchezo wake.Akirudi
hapa UK anaweza kupigwa mawe.Bangi zina
msumbua tuu.Yeye ninani mtu amabe hawezi
kumuheshimu mwakilishi wa Rais wetu Uganda
-Balozi wetu pale kampala.Nashanga serikali ya
Uganda wamemsikiliza na kuifanya hii ishu
itake kuharibu uhusiano mkubwa kati ya
nchi hizi mbili.Hivyo chameleone mnamjua
? juzi kawa muislam kesho yake karutadi
tena .Bangi haziwezi zina mpelekesha. Anafaa
kua jela maana ni msani jambazi.Huko
kampala na sikia wamesha rushiana risasi na
msani Bobby wine. Naomba watanzania wote
tumzomeye chameleon na asirudi tanzania tena
kwa tabia yake tena . Hon membe
tunaomba hili ulifanyie kazi kwamba wageni
hawezi kuja na wakatu abuse hata nyumbani
kwetu. Bwana Erik nawe usije uka shika
pasport ya mtu ni document ya
serikali wala sio mtu binafsi
No comments:
Post a Comment