Msanii anayeondoka na style za Rnb
hapa bongo huyu si mwingine namzungumzia Ben pol.Msanii huyu amesitisha
kufanya collabo na wasanii mpaka amalize project ya nyimbo yake inayofahamika
kwa jina la Pete.kwani ameeleza kwamba utakuta anatumia muda mwingi sana katika
kufanya collabo na wasanii wa hapa nchini na hicho ndicho kinachomfanya
asimalize project zake. kwa hiyo amesitisha kwanza mpaka amalize project yake
ya pete ndipo atachukua uamuzi wa kufanya collabo na wasanii.Hayo ndiyo maneno
ya Ben Pol akifunguka kuhusiana na sababu za kutokufanya collabo.
No comments:
Post a Comment