Enter Adress
Tuesday, July 31, 2012
Monday, July 30, 2012
PICHA KALI TISA ZA MATUKIO YA OLIMPIC
HAWA NDIO WAJAMAICA WAKIINGIA UWANJANI
KWA MWONEKANO WAINGEREZA WAMEJITAHIDI KUANDAA KAMA WENYEJ
WAKANADA NAO HAWAKUA MBALI
BASKETTBALL STAR LEBRON JAMES AKICHUKUA PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI
WACAMEROON WAKISHANGILIA KWA FURAHA
NDUGU ZAKE OBAMA HAO KAMA KAWA MAUZOOOO
CHEZEA MWINGEREZA WEWE
HAYA NDUGU ZANGU WALA HAWANA MAKUU WATOTO WA JK HAO (TANZANIA) LOVE YOU GUYS.... WISH YOU ALL THE BEST
Wednesday, July 25, 2012
DROGBA NA TIMU YAKE YA SHANGHAI
Hamu ya kumuona Didier Drogba akicheza kwa
mara ya kwanza toka aihame Chelsea na kwenda China imetimia, hiyo hapo.
Timu yake ya Shanghai ilikua imeshafungwa
moja tayari lakini alipoingia Drogba alisaidia na hatimae Cao Yunding kufunga
goli la kusawazisha ambapo kabla ya hapo pia, Drogba alikosakosa magoli kadhaa
likiwemo la kichwa na moja baada ya kuachia mkwaju ambao ulipanguliwa kwa tabu
na kipa wa Guangzhou .
Hii ni mechi ya kwanza ya Drogba toka
ajiunge na club hiyo ya China kwa dili la miaka miwili akiwa na mchezaji
mwenzake wa zamani wa Chelsea Nicolas Anelka…. chek jinsi Drogba alivyocheza
kwenye hiyo mechi yake ya kwanza ndani ya hiyo video hapo chini…..
Tuesday, July 24, 2012
Monday, July 23, 2012
PICHA YA WIKI (By David kibanga)
KWA RESEACH ILIYOFANYWA NA MR. David kibanga , Baada ya miaka michache hali itakuwa hivi
Thursday, July 19, 2012
PICHA TATU ZA MATUKIO YA AJALI YA MELI ZANZIBAR
WATU MBALI MBALI WALIJITAHIDI KUTOA MSAADA IWEZEKANAVYO
HAPA NDIPO MELI ILIPO ZAMA
walio shuhudia wanasema meli iligeuka kichwa chini miguu juu kwa hiyo ilikuwa vigumu mno
kwa watu kupona kutokana na wingi wa watu waliomo kwenye meli
Wednesday, July 18, 2012
PICHA YA WIKI (By David kibanga)
Ni vigumu sana kumsahau mtu uliye mpenda sana na hivi ndivyo ilivyotokea kwa Rihana kwa kuachana na mpenzi wake wa zamani Chris brown.
Monday, July 16, 2012
HII NDIO NYUMBA YA NE-YO KAMA ULIKUWA HUJUI (By David kibanga)
HUU NI MWONEKANO WA MBELE JINSI NYUMBA INAVYO ONEKANA.
wenzetu hutumia pesa nyingi kuwekeza kwa ajili ya kitu fulani lakini wa Tanzania huwaza kutumia pesa yote kwa ajili ya starehe.
wenzetu hutumia pesa nyingi kuwekeza kwa ajili ya kitu fulani lakini wa Tanzania huwaza kutumia pesa yote kwa ajili ya starehe.
PA MISOSI APOOOO
SEATING ROOM SASA HEEEEEEE
MAMBO YA BAFU AYOOO
SEHEMU YA KUPUMZIKIA NYUMA YA NYUMBA
PAKUTOLE MAWAZO APO
SEATING ROOM
KITANDA CHA MZEE MZIMA SASA
Thursday, July 12, 2012
FAHAMU BIDHAA ZILIZO KUWEMO KWENYE BANDA LA KANUMBA THE GREAT NDANI YA SABA SABA by David kibanga
SUTI ALIYO IPENDA KANUMBA KULIKO ZOTE. ILIKUWA KWA AJILI YA KUTAZAMA TU SIO KWA KUUZA
BIDHAA NYINGINE KAMA HIZI PIA ZILIKUWEPO
www.daudikibanga.blogspot.com
Hii ni moja ya suti ambayo marehemu stev kanumba alipendelea kuvaa pake alipo pata shughuli maalum.
T SHIRT NAZO ZILIKUWEMO NDANI YA BANDA LA KANUMBA THE GREAT
BIDHAA NYINGINE KAMA HIZI PIA ZILIKUWEPO
Tuesday, July 10, 2012
MPYA KUHUSU JOHN TERRY By david kibanga
John Terry, mwenye umri wa miaka 31, na ambaye
ni mchezaji soka wa Chelsea na vile vile timu ya taifa ya England, anashtakiwa
kwa madai kwamba alimtukana Anton Ferdinand, kwa kutumia lugha ya ubaguzi wa
rangi katika mechi uwanjani, madai ambayo John Terry ameyakanusha.
Inadaiwa Terry, nahodha wa timu ya Chelsea,
alitamka maneno hayo dhidi ya mlinzi wa QPR, wakati timu hizo zilipopambana
katika uwanja wa QPR wa barabara ya Loftus, mwezi Oktoba.
Kesi hiyo inatazamiwa itaendelea kwa siku tano
katika mahakama ya Westminster, mjini London.
Ikiwa Terry atapatikana na hatia, hukumu kali
zaidi itakuwa ni kutozwa faini ya pauni 2,500.
Ferdinand alisema mahakamani kwamba
"wakati mtu anapoleta suala la rangi katika mchezo, huwa amezidisha matusi
na kuyafikisha hatua nyingine".
Inadaiwa kwamba mlinzi huyo wa Chelsea alimuita mwenzake
mweusi, na akitumia maneno pia yaliyohusishwa na ngono.
Mtaalamu wa lugha ya kutafsiri yaliyosema kwa kuangalia
mdomo, Susan Whitewood, alithibitisha kwamba matamshi yasiyofaa yalitumiwa na
Terry.
Ferdinand aliielezea mahakama kwamba awali hakudhani lugha
ya ubaguzi wa rangi ilitumika.
Lakini baada ya mechi, rafiki yake wa kike alimchezea video
iliyokuwa katika tovuti ya YouTube, na baada ya hapo, alibadilisha nia na
kuamua kuchukua hatua za kisheria.
Ferdinand alisema kwamba kama moja kwa moja angelitambua
Terry alimtukana uwanjani kwa kutumia matamshi hayo, basi papo hapo
angeliwaarifu maafisa waliyosimamia mechi hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)