Enter Adress

Thursday, July 19, 2012

PICHA TATU ZA MATUKIO YA AJALI YA MELI ZANZIBAR




 WATU MBALI MBALI WALIJITAHIDI KUTOA MSAADA IWEZEKANAVYO










 HAPA NDIPO MELI ILIPO ZAMA


walio shuhudia wanasema meli iligeuka kichwa chini miguu juu kwa hiyo ilikuwa vigumu mno
kwa watu kupona  kutokana na wingi wa watu waliomo kwenye meli

(By David kibanga)

No comments:

Post a Comment