Hamu ya kumuona Didier Drogba akicheza kwa
mara ya kwanza toka aihame Chelsea na kwenda China imetimia, hiyo hapo.
Timu yake ya Shanghai ilikua imeshafungwa
moja tayari lakini alipoingia Drogba alisaidia na hatimae Cao Yunding kufunga
goli la kusawazisha ambapo kabla ya hapo pia, Drogba alikosakosa magoli kadhaa
likiwemo la kichwa na moja baada ya kuachia mkwaju ambao ulipanguliwa kwa tabu
na kipa wa Guangzhou .
Hii ni mechi ya kwanza ya Drogba toka
ajiunge na club hiyo ya China kwa dili la miaka miwili akiwa na mchezaji
mwenzake wa zamani wa Chelsea Nicolas Anelka…. chek jinsi Drogba alivyocheza
kwenye hiyo mechi yake ya kwanza ndani ya hiyo video hapo chini…..
No comments:
Post a Comment