Waislamu wengi wa Tanzania Bara wemonekana wakikerwa na kitendo cha Rais
wa Nchi ambae ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
Kuwatatulia Matatizo yao kwa Kutumia Mguvu Za Kijesshi.
Wengi wanasema hasira zao watazionyesha katika uchaguzi mkuu wa ccm 2015
kuipigia chadema chamaa kikuu cha upinzani ili kiondowe ccm
kmadarakani.
Sasa ikiwa itakuwa hivyo na tujalie iwe hivyo yani nguvu za waislamu
ambao ni wengi wakishirikiana na chadema jee kweli sisi itakuwa na ubavu
wa kuzuwia wimbi hilo na nguvu hio?
Kwa upande wetu wa Zanzibar na harakati za ukombozi hilo pia
litatusaidia sana kwa vile Nyani mkubwa akicha angushwa lalobaki
tutajuwa jinsi gani Wazanzibar kuwazibiti.
Maana kufa kwa ccm ni kufa kwa power yote ya unyanyasaji kwa kutumia Vikosi vya ulinzi.
Na jengine ambalo ni muhimu nilitaka kujuwa vipi tume ya Mh Warioba na
katiba ambayo inatarajiwa kuanza kazi 2014 huku tumebakiwa na mwaka moja
tu, chadema kunyakuwa?
Sikuchukuwa mabilioni ya Watanzania walipa kodi kufunja tu.
Maana Chadema inasema Katiba itafumuliwa na kuanza mwanzo agenda ya
kurudisha Tanzania huru kwanza halafu ndio kukaa mezani kuangalia
maswala ya Muungano kwa wananchi wa pande zote mbili wanataka uendelee
au vipi?.(source jamiiforums)
No comments:
Post a Comment